Sunday, March 25, 2012
Monday, March 12, 2012
WITH ALL YOUR GETTING, GET UNDERSTANDING:
Wisdom is the principal thing;
therefore get wisdom: and with all thy getting, get understanding. (Prov. 4:7)
Getting understanding is not
the same as getting a breakthrough. It is certainly not an instant solution.
Nevertheless, understanding will lead you to the solution. Wisdom is most
useful for direction.
When you have wisdom and
understanding, you will be a different kind of woman/man. Women/men who give
themselves to reading are people of understanding. People who bother to go to
university are people of understanding. In the natural, such people have an
easier life.
When you thoroughly understand
the cause of a problem, you are able to solve it better. That is why medical
doctors spend so much time trying to diagnose problems. Understanding the
problem is often 80% of the solution.
Prepared by:
Frt BikolwaMungu A, Stephen
(Archdiocese of Mwanza)
SEGEREA SENIOR SEMINARY.
Segerea Senior
Seminary is a Regional Theological Seminary, located in Dar
es salaam Tanzania ,
about 14 kilometers South-West of the City centre. For more precision, it is
about 3 kilometers North-West of the Dar
es Salaam International
Airport .
This Seminary
was opened in 1979, and is being run by the Tanzania Episcopal Conference
(T.E.C.) with aim of training future Catholic Priests for facilitating the
mission of our Lord Jesus Christ of spreading the Good News till the end of the
times.
The four
pillars of the formation of the seminary are:- Human, Intellectual, Spiritual
and Pastoral formation. In regard human formation, the Seminarians are trained
to develop human qualities such as Sincerity, constant love of justice,
fidelity to one’s promises, courtesy in deed, modesty, and charity.
On Academic
formation, Seminarians are being taught different disciplines such as Sacred
Scripture, Moral Theology, Dogmatic Theology, Liturgy, Church Law, Spiritual
Theology, Pastoral Theology, Catechesis, Patrology, Missiology, Islamics,
Homiletics, African Tradition Religion, Greek and Latin languages.
Spiritual
formation is aimed at preparing future priests for the life of Holiness.
Through spiritual formation, seminarians are taught to inculcate a sense of
mission to exercise ministry with lively faith and charity and to cultivate
those virtues which are highly valued in human relationships.
Pastoral
formation is provided to students especially in matters pertain to the sacred
ministry and in a special way in the celebration of the Sacraments, in dealing
with people including non-Catholics and unbelievers. All these are being guided
by our motto “Et eritis mihi Testes” (Act 1:8).
Moreover,
realizing and acknowledging the gifts and talents of the community, the
seminary has not lagged behind in concretizing the police of self-reliance,
indeed as you get in the circumference of the seminary what catches your eyes,
if not your whole being is that which the implementation of self-reliance
policy has produced. The seminary has also taken to heart the saying of the
wise men that “we do not stop playing because we grow old but rather we grow
old because we stop playing”. Hence different kinds of sports have been
introduced in the seminary.
All in all, the
seminary is doing a lot to ensure that the goals are met.
By
Frt Wilhelm
Soni (Theology IV)
TRUE FREEDOM
With all the spiritual writers
and all the wisdom traditions and faith, Iam saying that true freedom is not
freedom of the ego but freedom from the ego. Personal freedom is often thought
of as freedom of the ego to do whatever one’s selfishness dictates. But what we
are talking about here is freedom from the ego, from the tyranny of
selfishness.
Freedom of the ego is the
freedom to exploit, kill, victimize, marginalize, or just ignore others when it
is for my benefit or the benefit of my group. On the other hand, freedom from
my ego is freedom to love, serve, and care for others, unhindered by my own
hang-ups, obsessions, and selfishness. It is the freedom to pursue the common
good. This is, of course, easier said than done. It is a great ideal, but how
practical is it?
Freedom from one’s ego
obviously takes time. Short-term measures like law enforcement and moral laws
are needed, but there will be no lasting peace until we set out on this course
of personal liberation. Nor is it something that goes against our nature as
human beings. All human beings want to love and be loved, to have inner freedom
and peace.
Prepared by:
Frt. BikolwaMungu A, Stephen
(Archdiocese of Mwanza)
Sunday, March 11, 2012
JUMAPILI YA 3 YA KWARESMA 11/03/2012
II. 1Kor 1:22-25
III.
Yohane 2:13-25
Tafakari:
Katika
kutafakari Kwaresma, tunaalikwa na somo la kwanza kuzitafakari Amri za Mungu.
Mungu anawakumbusha Waisraeli kuwa ndiye aliyewatoa utumwani, ana agano nao na
hivyo anawapa amri za kuzingatia katika agano hilo .
Maelezo
ya amri hizo yameelezwa vizuri katika Katekisimu ya Kanisa Katoliki. Kwa ufupi
amri hizi ni za kutuongoza ili kuhusiana vema na Mungu na ndugu zetu ambazo
Kristu anatoa ufupisho wake katika amri kuu mbili; Kumpenda Bwana Mungu kwa
Moyo wote, akili na nguvu zote. Pia kumpenda jirani kama
nafsi zetu.Sheria/amri ni kwaajili ya kurahisisha maisha na si kwa lengo la
kumuadhibu yeyote!
Somo
la Injili tunaona kuwa kwasababu ya kutoziheshimu amri na taratibu, Yesu
anaingilia kati na kupindua meza zao.
Anaposema
“Libomoeni hekalu hili na kwa siku tatu nitalisimamisha” anatabiri juu ya kifo
na ufufuko wake. Hekalu ni mwili wake! Mtume Paulo katika waraka wake wa kwanza
anaonesha kuwa kama wakristu tunashiriki katika fumbo hilo kwa kuwa sisi nasi ni hekalu la Roho
Mtakatifu.
Ikiwa
basi sisi ni mahekalu ya Mungu, hatuna budi tufungue mioyo ili Kristu
atusafishe na kila udhalimu na kila aina ya biashara ifanyikayo ndani yake, yaani
, yale mambo yote yaliyo kinyume na mapenzi ya Mungu.
Tuwakumbuke,
siku ya leo, wakatekumeni wanaofanyiwa leo takaso la kwanza!
Friday, March 9, 2012
JUMAPILI YA 2 YA KWARESMA 04/03/2012
Masomo: I.
Mwanzo 22:1-2, 9a, 10-13,15-18
II. Rum 8:31b-34
III. Mk 9:2-9
Mhubiri alisema:
Changamoto
ya siku ya leo ipo katika somo la kwanza, ambapo japo Ibrahimu alikuwa ana
mtoto mmoja tu aliyempata kwa Sara katika uzee… tujiulize, Angemchinja Isaka,
ahadi ya uzao mkubwa angeitimizaje? Hata hivyo Ibrahimu hakusita kumtoa
Isaka-mwanae wa pekee sadaka kwa Mungu akiamini kuwa, yeye aliyempatia mwana
katika uzee, atajua ni kwa jinsi gani atampatia huo uzao mkubwa kama mchanga wa pwani. Kutokana na tendo hili la ushujaa,
Ibrahimu anastahili kuwa Baba wa Imani!
Kumtolea
Isaka (katika agano la kale) ni kielelezo cha Mungu alivyomtolea mwanae wa
pekee – Yesu Kristu (katika agano jipya) kwaajili yetu!
Katika
somo la III – Injili, tukio la kung’ara sura kwake Yesu linatanguliwa na
matukio kadhaa: - Yesu alimponya kipofu hatua kwa hatua (Mk 8:22-26) ikiwa ni
ishara ya kuwafunua macho wafuasi wake juu ya utume wake wa kimasiha hapa
duniani; kisha anawauliza kuona kama wamtambua
yeye ni nani (Mk 8:27…)
Kumbe
tukio hili la kung’ara sura ni mwendelezo wa mafundisho ya Yesu kwa wafuasi
wake juu ya kumtambua yeye ni nani na utume wake ni upi hapa duniani. Turejee
katika Injili hii na tutafakari juu ya mambo yafuatayo yanakutwa humo:
Ø
Mlima mrefu
Ø
Kung’ara
ni dhihirisho la utukufu wa Kristu
Ø
Eliya ni mwamba mmojawapo wa agano la kale. Huyu
ni nabii mkuu aliyepambana na dini za kipagani na kuzishinda. Anatabiriwa kuwa
atarudi kumtayarishia masiha njia kwa vile hakufa bali alitwaliwa. Uwepo wake
katika tukio hili waonesha ujio wa masiha.
Ø
Musa ni mwamba mmojawapo wa agano la kale. Huyu
naye ni nabii mkuu – mtoa Torati, aliyewahi kuongea na Mungu uso kwa uso ambaye
aliwaahidi waisraeli kuwa yuaja nabii mkuu kama
yeye atokaye kwa Mungu – ndiye Kristu (Kumbukumbu la Torati 18:15)
Ø
Sauti yadhihirisha kuwa Kristu ni nabii mkuu
Ø
Wingu laashiria uwepo wa Mungu na kuhakiki utume
wa Kristu-Masiha (Kutoka 19:9, 13:21, 33:9-11)
Ø
Vibanda ni rejeo la sikukuu ya vibanda (Zekaria
14:16-19) kuashiria kumbukumbu ya kukaa kwa waisraeli jangwani na tarajio la
masiha. Sherehe hii ilitabiriwa kuendelea kuwepo hata baada ya ujio wa masiha.
Ø
Hofu ni
namna ya msisimko wa furaha na woga. Uwepo wa Bwana ni sharti uambatane na
furaha yenye mshangao pamoja na tetemeko (Tremendum
Fascinantia)
Tujifunze nini kutokana na haya:
-
Kuwa na ushujaa wa Imani kama
babu yetu Ibrahimu tukimtumainia Mungu katika kila jambo.
-
Kuachana na malimwengu ili tuambatane na Kristu huku
tukiikumbata imani kwake.
-
Tuache maisha mabovu ya dhambi ili tuifikie furaha na
amani ya kweli.
Tujiulize pia:
Mambo yakienda kinyume cha
matarajio yetu, je, twaweka tumaini na imani kwa Mungu?
Mtume
Paulo katika somo la II, anasema: Ni nani awezaye kututenga na Kristu kama tumeshikamana naye? Hata kama tutaonekana kama tumeachwa naye, tusimame imara, tusikate tama kwani
mateso, kifo ni lazima ili kuufikia utukufu. Tukumbuke kuwa:
-
Hakuna Pasaka bila Ijumaa kuu,
-
Mchumia juani hulia kivulini,
-
Subira huvuta heri,
-
Mvumilivu hula mbivu; na
-
Mtaka cha uvunguni sharti ainame.
Subscribe to:
Posts (Atom)